-
This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
-
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
-
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
-
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
-
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
SAFIRI SALAMA KWA NDEGE KUTOKA TZ.
Kumekucha tena tanzania, usafilri wa anga kutoka tanzania unaendelea na huduma zake kama ilivyo kuwa kawaida malaka ya anga kutoka tanzania inaendelea kutoa huduma ndani na njee ya tanzania katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa nyerere ambao unapoke ndege kubwa na ndogo kutoka nchi mbalimbali duniani na wenye wafanya kazi wakipee napia usafiri wandani ya nchi kwa bei bomba kabisa HOSPITALI YA RUFAA KUSINI" UJENZI UMEFIKA ASILIMIA 80
Waziri wa afya Mh UMMY MWALIMU ambaye anapambana kusimamia ujenzi wa hospitali ya rufaa kusini ambaye inaendelea na ujenzi wake kwa asilimia chache zilizo baki anambayo inasadikika hospitali hiyo ikikamilika wagonjwa awatapata tabu ya kuja hospitali ya taifa ya muhimbili kwa siku zijazo na kupata matibabu ya mapema sana na kwa halaka mnoo.FOREPLAN UBUNGO PLAZA....
DKT jj mwaka ambaye ni mganga mzuri katika matibabu mbalimbali na anatoushauli kwa kila mwenye tatizo la ushali pamoja na tiba mzuri kwa kila mgonjwa ana patikana dar es salaam maeneo ya ubungo plaza kwa kudili na mimea na tiba asili kwa kila mwenye tatizo fika kwa dr mwaka na usiangaike kwa kutaka tiba bora kwengine.KUMEKUCHA WCB DIAMOND PLATINUMZ FT RAYVANNY NA NGOMA KALI YA AMABOKO.
Mwana mziki matata kaka yetu diamond platinum akiwa na kijana wake machachali vannyboy kwenye ngoma ya amaboko wakiwa wanatamba mtandaoni kwa kuwasumbua wanamziki wengine wa bongo na kuzidi kupanda chati katika hame iyo ya mziki nchini tanzania na ngoma yao kali ya amaboko ikizidi kutoboa mipaka mbalimbali ndani na nje ya afrika .MWANA MUZIKI MKALI NAIJA @ WIZKID ATOA TAMKO KALI KATIKA GAME YA MUSIC
Mwimbaji bora wa music ambaye nikijana anaye pambania soko lake katika tasinia ya mziki atangaza ujio wa album yake mpya yenye ngoma kali kuliko made in lagos ipotayari ambayo itarushwa ivi karibuni katika mitandao mbalimbali, ni myama mkali anang'ata kama simba na dunia ina mtambua kwa miziki mikali na pendwa sana kwa mashabiki wake 