Kijana ambaye ni mzaliwa wa zanzibari AHMED REILAN ambaye inasadikika kuwa alikuwa kijana mwema na aliyeshika dini kutokana na ugumu wa maisha ikapelekea kuuza sabuni kenya akitoa arusha,tanzania ikisadikiwa kuwa ndo chanzo cha mashambulio mawili moja tanzania najengine kenya baada ya hapo akakimbilia oman akawa mwalimu wa mafunzo wa kundi la kigaidi la al kaida ambaro lilikuwa chini ya osama bin laden ambaye ahmed aliwa fundisha na english magaidi hao na akawa anatafutwa na umoja wa mataifa na hatima yake ikaishia gerezani guantanamu.
Home »
» MTANZANIA WA KWANZA KUFUNGWA GUANTANAMO GEREZA KUBWA DUNIANI
MTANZANIA WA KWANZA KUFUNGWA GUANTANAMO GEREZA KUBWA DUNIANI
Watanzania wenzangu karibuni kwenye huduma hii kwa kupata habari mbalimbali naitaji sapoti yenu.
No comments:
Post a Comment