Waziri wa afya Mh UMMY MWALIMU ambaye anapambana kusimamia ujenzi wa hospitali ya rufaa kusini ambaye inaendelea na ujenzi wake kwa asilimia chache zilizo baki anambayo inasadikika hospitali hiyo ikikamilika wagonjwa awatapata tabu ya kuja hospitali ya taifa ya muhimbili kwa siku zijazo na kupata matibabu ya mapema sana na kwa halaka mnoo.
Home »
» HOSPITALI YA RUFAA KUSINI" UJENZI UMEFIKA ASILIMIA 80
HOSPITALI YA RUFAA KUSINI" UJENZI UMEFIKA ASILIMIA 80
Watanzania wenzangu karibuni kwenye huduma hii kwa kupata habari mbalimbali naitaji sapoti yenu.
No comments:
Post a Comment