Home »
» ZINDZI MANDELA AMEFARIKI DUNIA
Mtoto wa mwanamapinduzi nelson mandela afariki dunia johhansbug ambaye ni zindzi aliyerithi nyayo za mzee mandela kwa kupigania haki za watu wanyonge alianza kuwa balozi wa Dermack amefariki akiwa na miaka 59 jamini tunakuombea mwana halakati.
Watanzania wenzangu karibuni kwenye huduma hii kwa kupata habari mbalimbali naitaji sapoti yenu.
No comments:
Post a Comment