Mwana mziki matata kaka yetu diamond platinum akiwa na kijana wake machachali vannyboy kwenye ngoma ya amaboko wakiwa wanatamba mtandaoni kwa kuwasumbua wanamziki wengine wa bongo na kuzidi kupanda chati katika hame iyo ya mziki nchini tanzania na ngoma yao kali ya amaboko ikizidi kutoboa mipaka mbalimbali ndani na nje ya afrika .
Home »
» KUMEKUCHA WCB DIAMOND PLATINUMZ FT RAYVANNY NA NGOMA KALI YA AMABOKO.
KUMEKUCHA WCB DIAMOND PLATINUMZ FT RAYVANNY NA NGOMA KALI YA AMABOKO.
Watanzania wenzangu karibuni kwenye huduma hii kwa kupata habari mbalimbali naitaji sapoti yenu.
No comments:
Post a Comment