Mwimbaji bora wa music ambaye nikijana anaye pambania soko lake katika tasinia ya mziki atangaza ujio wa album yake mpya yenye ngoma kali kuliko made in lagos ipotayari ambayo itarushwa ivi karibuni katika mitandao mbalimbali, ni myama mkali anang'ata kama simba na dunia ina mtambua kwa miziki mikali na pendwa sana kwa mashabiki wake
Home »
» MWANA MUZIKI MKALI NAIJA @ WIZKID ATOA TAMKO KALI KATIKA GAME YA MUSIC
MWANA MUZIKI MKALI NAIJA @ WIZKID ATOA TAMKO KALI KATIKA GAME YA MUSIC
Watanzania wenzangu karibuni kwenye huduma hii kwa kupata habari mbalimbali naitaji sapoti yenu.
No comments:
Post a Comment