-
This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
-
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
-
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
-
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
-
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
PROFFESOR JAMAL APRIL ( THE STORY BOOK)
Poffesor jamal april mwongozaji wa kipindi cha the story book ambacho kinafanya watu wengi kujua habari mbalimbali kutoka africa na njee ya africa utoa mambo mengi yanayo husiana na historia na teknorojia ya mbele mfano, mwisho wa dunia ambaye anazidi kutoa video na clip muhimu anapatikana kwenye rebo ya wasafi media ni mtanzania mpambanaji,BIG SUNDAY LIVE
Mwanamziki G-money akiwa live kwenye kipindi pendwa cha big sunday live akiwa anatoa burudani kipindi icho ambacho sio cha kutoa burudani bali kinatoa fursa kwa vijana wenye talent mbalimbali wengi wao wakiwa wachuo kipindi ambacho kipo chini ya uongozi wa wasafi na kutoa burudani wanadada money asema kwa kuvutiwa na big sunday lîve onwasafi tv amefungúka.MTANZANIA WA KWANZA KUFUNGWA GUANTANAMO GEREZA KUBWA DUNIANI
Kijana ambaye ni mzaliwa wa zanzibari AHMED REILAN ambaye inasadikika kuwa alikuwa kijana mwema na aliyeshika dini kutokana na ugumu wa maisha ikapelekea kuuza sabuni kenya akitoa arusha,tanzania ikisadikiwa kuwa ndo chanzo cha mashambulio mawili moja tanzania najengine kenya baada ya hapo akakimbilia oman akawa mwalimu wa mafunzo wa kundi la kigaidi la al kaida ambaro lilikuwa chini ya osama bin laden ambaye ahmed aliwa fundisha na english magaidi hao na akawa anatafutwa na umoja wa mataifa na hatima yake ikaishia gerezani guantanamu.SAFIRI SALAMA KWA NDEGE KUTOKA TZ.
Kumekucha tena tanzania, usafilri wa anga kutoka tanzania unaendelea na huduma zake kama ilivyo kuwa kawaida malaka ya anga kutoka tanzania inaendelea kutoa huduma ndani na njee ya tanzania katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa nyerere ambao unapoke ndege kubwa na ndogo kutoka nchi mbalimbali duniani na wenye wafanya kazi wakipee napia usafiri wandani ya nchi kwa bei bomba kabisa HOSPITALI YA RUFAA KUSINI" UJENZI UMEFIKA ASILIMIA 80
Waziri wa afya Mh UMMY MWALIMU ambaye anapambana kusimamia ujenzi wa hospitali ya rufaa kusini ambaye inaendelea na ujenzi wake kwa asilimia chache zilizo baki anambayo inasadikika hospitali hiyo ikikamilika wagonjwa awatapata tabu ya kuja hospitali ya taifa ya muhimbili kwa siku zijazo na kupata matibabu ya mapema sana na kwa halaka mnoo.FOREPLAN UBUNGO PLAZA....
DKT jj mwaka ambaye ni mganga mzuri katika matibabu mbalimbali na anatoushauli kwa kila mwenye tatizo la ushali pamoja na tiba mzuri kwa kila mgonjwa ana patikana dar es salaam maeneo ya ubungo plaza kwa kudili na mimea na tiba asili kwa kila mwenye tatizo fika kwa dr mwaka na usiangaike kwa kutaka tiba bora kwengine.KUMEKUCHA WCB DIAMOND PLATINUMZ FT RAYVANNY NA NGOMA KALI YA AMABOKO.
Mwana mziki matata kaka yetu diamond platinum akiwa na kijana wake machachali vannyboy kwenye ngoma ya amaboko wakiwa wanatamba mtandaoni kwa kuwasumbua wanamziki wengine wa bongo na kuzidi kupanda chati katika hame iyo ya mziki nchini tanzania na ngoma yao kali ya amaboko ikizidi kutoboa mipaka mbalimbali ndani na nje ya afrika .MWANA MUZIKI MKALI NAIJA @ WIZKID ATOA TAMKO KALI KATIKA GAME YA MUSIC
Mwimbaji bora wa music ambaye nikijana anaye pambania soko lake katika tasinia ya mziki atangaza ujio wa album yake mpya yenye ngoma kali kuliko made in lagos ipotayari ambayo itarushwa ivi karibuni katika mitandao mbalimbali, ni myama mkali anang'ata kama simba na dunia ina mtambua kwa miziki mikali na pendwa sana kwa mashabiki wake 